Toa Hoja yako kuhusu ubalishaji wa mfumo wa upigaji kura Kanada

 

Special Committee on Electoral Reform (CNW Group/House of Commons - Special Committee on Electoral Reform)

Kamati maalum ya bunge (House of Commons) inayohusika na mchakato wa mageuzi katika upigaji kura inawakaribisha wakaazi wa Toronto, kutoa maoni yao kuhusu swala hilo kesho jumatano, 21, Septemba.

Mkutano huo utafanyika Chelsea Hotel, Toronto, 33 Gerrard Street West (Churchill Ballroom).

Waziri Mkuu Justin Trudeau aliaahidi kuupa kipaombele suala la kubadilisha mfumo wa upigaji kura kwenye kampeni zake za kutaka kuwa waziri mkuu wa Kanada kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015. Kamati hiyo maalum ya bunge la Kanada, inatembelea sehemu mbalimbali nchini na kuwahusisha wananchi kutoa hoja zao na kuaangalia njia za kubadilisha mfumo wa sasa wa upigaji kura unaojulikana kama past-the-post system.

Wananchi wa Kanada ambao wanataka kutoa hoja zao katika ubalishaji mfumo wa kura, upigaji kura kutumia interneti na kupitisha sheria ya upigaji kura kwa lazima wanaweza kushiriki katika kikao cha maswali na majibu kwenye mkutano huo

Masaa

1:30 p.m. – 4:15 p.m. Jopo la Wataalamu
4:15 p.m. – 5:00 p.m.  Maswali na majibu
6:30 p.m. – 9:30 p.m. Maswali na majibu

Wapi?

Chelsea Hotel, Toronto, 33 Gerrard Street West (Churchill Ballroom)

Ukitaka kusikia kwa internet bonyeza hapa

Quick Facts

  • The Committee’s mandate was set out in a motion adopted by the House of Commons on Tuesday, June 7, 2016. As ofSeptember 2, 2016, the Special Committee has held 23 substantive meetings and heard from nearly 60 witnesses, including the Minister of Democratic Institutions and the Chief Electoral Officer. Read transcripts of meetings.
  • So far 2,800 Canadians have participated in an online consultation launched on August 19, 2016.
  • An Update on the Special Committee’s Study on Electoral Reform was published on September 6, 2016.
  • The Committee invites Canadians to share questions and comments on Twitter using the hashtags #ERRE #Q.

Angalia jinsi Kura Yako ilivyo muhimu

http://www.ecsa.sa.gov.au/images/flash/flash.htm

Source: http://www.newswire.ca/

About Msimulizi

Publisher and Editor in chief MsimuliziOnline, community news and information hub serving East African-Canadians.

View all posts by Msimulizi →

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *