Sanjay Dutt Atoka Jela India

358305_Gautam_blauMcheza sinema mashuhuri wa #Bollywood, Sanjay Dutt A.K.A Sanju Baba, ameachiwa huru kutoka jela moja nchini India baada ya kumaliza kifungo cha takriban miezi 42.

Dutt alihukumiwa jela baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha kwake katika milipuko ya mabomu Mumbai mwaka 1993. Katika milipuko hiyo ya mabomu kwenye mji mkubwa India, watu 257 waliuauwa na wengine 713 kujeruhiwa.

Dutt alifungwa jela baada ya kukutikana na silaha na mabomu, ambayo alisemema ilikuwa kwaajili ya kujikinga yeye na familia yake baada ya ghasia zilizozuka baina ya Whindu na Waisilamu huko India.

About Msimulizi

Publisher and Editor in chief MsimuliziOnline, community news and information hub serving East African-Canadians.

View all posts by Msimulizi →

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *