Muhammad Ali hatunae tena

Shirika la habari la @NBCNEWS kwenye Twitter feed yao wanasema Muhammad Ali Bingwa wa ndondi duniani amefariki dunia akiwa na mialka 74

Habari zisizokuwa za uhakika kutoka hospitali moja huko Arizona, USA. Zinasema bingwa wa zamani wa ndondi za uzito wa juu Muhammad Ali yupo taabani na kwenye mashine (Life SUPPORT).

Tunamuomba mola amlinde bingwa wetu. AMEEN

Tunaendelea kufuatilia habari hizi za kusikitisha kwenye Twitter. Endelea kutembelea Msimulizi kwa yote mapya kuhusu bondia bingwa ambaye alitikisa ulimwengu wa ndondi katika miaka ya 70-80


About Msimulizi

Publisher and Editor in chief MsimuliziOnline, community news and information hub serving East African-Canadians.

View all posts by Msimulizi →

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *