Saturday 18th November 2017

Kanada inataka wa Tanzania kushiriki kwenye utafiti kuhusu misada kutoka nchi hiyo

www.123rf.comCanada and Tanzania Flags in puzzle isolated on white background

Kanada ni moja ya nchi inayotoa misada mingi kwa sekta mbali mbali nchini Tanzania.

Sasa, serikali ya Kanada inataka kukuhusisha wewe mwananchi na marafiki wa Tanzania kushiriki katika utafiti jinsi vipi misada hiyo itawanufaisha zaidi wa Tanzania.

Kwa upande wa serikali ya nchi hiyo ya Amerika ya kaskazini, inataka misada yake ifuatane na mabadiliko ya kisasa duniani, na inaelekea kuilenga misada hiyo katika miradi ya wanawake na wasichana wa nchi zinazoendelea.

Hivi karibuni waziri wa fedha na mipango aliimnukuu Sebastian Edwards aliyeaandika ‘Toxic Aid,’ kitabu kuhusu jinsi Tanzania ilivyoathirika na upokeaji wa misada ya nje.

“We would be grateful for your participation by completing this short survey on Canada’s international assistance to Tanzania by July 4, 2016,” inasema ujumbe kutoka kurasa ya Facebook ya ubalozi wa Kanada nchini Tanzania.

Utafiti huo unawaza patikana hapa

About the Author

Msimulizi

Publisher and Editor in chief MsimuliziOnline, community news and information hub serving East African-Canadians.

Be the first to comment on "Kanada inataka wa Tanzania kushiriki kwenye utafiti kuhusu misada kutoka nchi hiyo"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


}